Latest News

Kocha wa Nakuru Top Fry awalaumu wachezaji wa Ulinzi kwa kutumia mbinu chafu [Kiswahili]

Kocha wa timu ya Nakuru All Stars Peter Okidi amewalaumu wachezaji wa Ulinzi kwa kutumia mbinu chafu kutafuta magoli .

Akizungumza baada ya mchuano baina ya timu yake na ile ya Ulinzi, Okidi amesema kuwa wachezaji wa Ulinzi walikuwa na nia ya kumjeruhi mlinda lango wake.

Akiongea baada ya mchuano Okidi alisema “Crosses mbili tatu wameingia na intention ya kumjeruhi goalkeeper, ukiangalia wamemknock karibu mara tatu, sos that was their game plan, that's not football.”

Hata hivo kocha wa Ulinzi stars Robert Matano ametaja matamshi ya Okidi kama ya kitoto, “In football like mature coach you don't talk nonsense...”Robert Matano.

Kwenye mchuano huo uliochezewa katika uwanja wa Afraha mjini Nakuru siku ya Jumapilia Ulinzi stars iliicharaza Nakuru All Stars magoli 3-1

No comments:

Post a Comment

Lets Shine Africa Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Theme images by johnwoodcock. Powered by Blogger.